HATIMAYE kocha wa manchester City, Pep Guardiola ameanza kudondokwa na mate ya ute wa mchezaji wa FC Bournemouth, Harry Arter.


Guardiola alishindwa kuzuia hisia zake baada ya kukunwa na mambo ya kijana huyo katika mechi ilizozikutanisha timu hizo Jumatatu na baada ya mtanange huo akamfuata na kumuuliza kama yuko tayari kutua Etihad.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac