ISCO ASEMA ANAJIANDAA KUSEPA REAL MADRID KIANGAZI CHA MWAKA HUU

KIUNGO wa kimataifa wa Hispania, Isco amesema wazi kuwa anajiandaa kuondoka katika timu ya Real Madrid kiangazi cha mwaka huu.


Mchezaji huyo hajabainisha sababu za kuondoka lakini inadhaniwa kuwa amechoshwa na kukalia benchi.

No comments