ISHA MASHAUZI KUWASHIKA KAHAMA LEO USIKU KATIKA VALENTINE'S DAY SPECIAL


Lile onyesho la Isha Mashauzi lililokuwa  linasubiriwa kwa hamu kubwa na wakazi wa Kahama, linafanyika leo usiku ndani ya ukumbi wa Kikwetu Kwetu.

Onyesho hilo ni kwaajili ya siku ya wapendanao (Valentine's Day) ambapo Isha atakamua ngoma zake zote kali kuanzia za taarab hadi rumba.


No comments