JOH MAKINI AANGUSHA KIBAO KIPYA KIITWACHO “WAYA”

MSANII anayefahamika na wengi kama “Mwamba wa Arusha”, Joh Makini ameshusha kitu kipya kiitwacho “Waya.”


Kazi hiyo imetoka tangu mwishoni mwa mwezi uliopita na inatarajiwa kuanza kutikisa kwenye vituo vya radio na runinga Bongo muda wowote kuanzia sasa.

No comments