JOHN TERRY AJITABIRIA KUTOKUWEMO TENA KIKOSINI CHELSEA MSIMU HUU

BEKI wa kati wa Chelsea, John Terry amesema ana shaka kama ataweza kuvaa tena jezi msimu huu huku kikosi chake kikiendelea kufaidi msimamo wa Ligi.

No comments