KIPA namba moja wa Leicester City, Kasper Schmeichel amesema hata kama timu hiyo itashuka daraja haitaihama lakini akawataka wenzake kubadilika na kupambana.


Schmeichel amewaonya walinzi wa timu hiyo kutorejea kucheza ovyo katika mechi zijazo baada ya mabingwa hao watetezi kuchapwa na Man United 3-0 akisema wakifanya utani watashuka daraja.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac