KIPIGO CHA PSG CHAMFANYA KOCHA WA BARCELONA KUPANGA KUFUMUA KIKOSI CHAKE

BAADA ya Barcelona kupigwa 4-0 na Paris Saint-Germain katika mechi ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, bosi wa timu hiyo, Luis Enrique amepanga kukifumua kikosi chake.


Kocha huyo anaamini wachezaji wake wengi wamechoka hivyo anapaswa kuingiza damu mpya.

No comments