KIUNGO WILLIAN WA CHELSEA ASEMA HAJAFIKIRIA KWENDA KUCHEZA LIGI KUU CHINA


KIUNGO wa Chelsea, Willian hajawahi kufikiria kwenda kujiunga na Mbrazil mwenzake, Oscar kwenda kucheza Ligi Kuu China.

No comments