KLABU ZA ULAYA ZAPANIA KUMNG'OA WINGA BRUMA KLABUNI GALATASARAY

KLABU ya Galatasaray ya Uturuki imesema imepokea ofa kadhaa kutoka timu mbalimbali za Ulaya zikimtaka winga wake Bruma.


Miongoni mwa timu zinazomuhitaji ni Totten Ham ingawa klabu yake imesema Mreno huyo mwenye miaka 20 atauzwa iwapo klabu inayomuhitaji itaridhia kumuacha hadi mwisho wa msimu huu.

No comments