KOCHA CONTE AGEUKA BURUDANI KWA MASHABIKI WA SOKA UWANJANI

MZUKA ya kocha Antonio Conte anapokuwa uwanjani umekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka.
Conte amekuwa mwenye furaha sana pale Chelsea inapopata ushindi hususan dhidi ya timu ngumu.


Kocha huyo amekuwa akifanya mambo yanayowashangaza watu wengi kutokana na mizuka yake uwanjani, mfano tukio alilolifanya juzi alipoonekana akama anampiga kofi kocha wake msaidizi akimuelekeza kitu.

No comments