KOCHA WA CRYSTAL PALACE ACHARUKA... awaambia wachezaji wake wasipofuata maelekezo yake atawatimua wote na kusajili wengine

KOCHA wa klabu ya Crystal Palace, Sam Allardyce “Big Sam” amewaambia wachezaji wake wasipofuata maelekezo yake atawatimua wote na kusajili wengine.

Big Sam amesema wachezaji wanamuangusha kwa kutofuata maelekezo yake dimbani, jambo linalowafanya waambulie vipigo.

No comments