LAZIO YAZIVAA ARSENAL, WATFORD VITA YA KUMWANIA KIPA CHIPUKIZI WA TOULOUSE


KLABU ya Lazio ya Italia imejitosa katika vita dhidi ya Arsenal na Watford kuiwania saini ya kipa chipukizi mwenye umri wa miaka 18 wa Toulouse ya Ufaransa, Alban Lafont.

No comments