LIONEL MESSI AMPIGIA NDOGONDOGO ISCO REAL MADRID... auambia uongozi uhakikishe unamnasa

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi ameuambia uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unamnasa nyota wa Real Madrid, Isco.


Isco hana furaha Bernabeu na kuna uwezekano mkubwa wa kuondoka wakati wa majira ya kiangazi.

No comments