LUIZER MBUTU WA TWANGA AFIWA, AENDA LINDI


Kiongozi na mwimbaji mwandamizi wa Twanga Pepeta, Luizer Mbutu ambefiwa na mama yake mdogo usiku wa kuamkia leo.

Luizer ameondoka leo afajiri kwenda Lindi kumzika mama yake mdogo ambaye ndiye aliyemlea.

No comments