MAMADOU SAKHO KUTUA CRYSTAL PALACE MWISHONI MWA DIRISHA LA USAJILI

BEKI wa Liverpool, Mamadou Sakho huenda akatua klabu ya Crystal Palace siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.


Liverpool imedai kuwa thamani ya beki huyo ni pauni mil 20.

No comments