MAN UNITED WAMALIZANA NA BENFICA KUHUSU UHAMISHO WA MLINZI NELSON SEMEDO

HATIMAYE Manchester United wameafikiana na Benfica kuhusiana na uhamisho wa mlinzi wa pembeni kulia, Nelson Semedo.


United wapo tayari kutoa pauni mil 35 walizotakiwa na Benfica ili kuinasa saini ya mlinzi huyo mwenye miaka 23.

No comments