MANCHESTER CITY YAFANYA KUFURU YA UHAMISHO KWA MLINZI KINDA WA ATHLETIC BILBAO

MLINZI chipukizi wa Athletic Bilbao, Aymeric Laporte ataingia kwenye rekodi ya usajili baada ya timu ya Manchester City kutangaza dau kubwa la uhamisho.


City wametengeneza kumtengea mchezaji huyo raia wa Ufaransa paundi Mil 55 katika usajili wa kiangazi.

No comments