Habari

MANCHESTER CITY YAWEKA BAYANA SERGIO AGUERO HATAUZWA NG’O

on

KLABU ya
Manchester City imewatuliza mashabiki wake ikisema haina mpango wa kumtimua mpiga
mabao wake, Sergio Aguero licha ya kuanza kazi vizuri kwa chipukizi kutoka Brazil
Gabiel Jesus.
Baada ya
kutua kwa Jeasus mwenye miaka 19, wengi wameanza kuhisi kuwa Aguero mwenye miaka
28, atauzwa kwani amepoteza makali yake lakini klabu hiyo imeweka bayana kuwa haitamuuza.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *