Manchester United iliweka historia mpya katika michuano ya FA Cup kwa kuwa na safu ghali ya wachezaji wa akiba kwenye mchezo dhidi ya Blackburn Rovers siku ya Jumapili.

Klabu hiyo ya Old Trafford iliwaweka benchi wachezaji wake wa bei mbaya waliokuwa na jumla ya thamani ya pauni milioni 192 wakiwemo Paul Pogba, Juan Mata, Eric Bailly na Luke Shaw.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac