MARIO GOTZE AONYWA KUTOSHOBOKEA KUJIUNGA NA LIVERPOOL

MCHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani, Lothar Matthaus amemuonya staa wa Borussia Dortmund, Mario Gotze juu ya mpango wake wa kujiunga na Liverpool.


Aidha Mattaus ameenda mbali zaidi akidai kuwa ni bora Gotze atimkie nchini China.

No comments