MDOGO WAKE EDEN HAZARD ADAI KUTAKA KUREJEA ENGLAND

KIUNGO wa Borussia Monchengladbach, Thorgan Hazard ambaye alikuwa akikipiga Chelsea pamoja na nduguye, Eden Hazard, amesema anataka kurudi Uingereza.


Hata hivyo mchezaji huyo mwenye miaka 23, hajabainisha kama atarudi Chelsea ama ataenda timu nyingine, lakini amedokeza kuwa anataka Ligi yenye ushindani.  

No comments