MESUT OZIL, ALEXIS SANCHEZ WAPEWA RUKSA KUSEPA ARSENAL

KLABU ya arsenal imewapa ruhusa wachezaji wake tegemeo, mpiga mabao Alex Sanchez na kiungo Mesut Ozil kujiandaa kuondoka.

Wachezaji hao wenye miaka 28, wanalipwa fedha nzuri kuliko wengine lakini bado wanataka nyongeza ili wasaini mikataba mipya, lakini klabu hiyo imetia ngumu ikisema bora waondoke.

No comments