MICHO ALIVAA SHIRIKISHO LA SOKA UGANDA AKIDAI MALIMBIKIZO YA MSHAHARA

KOCHA wa Uganda, Sredojevic Milutin “Micho” amechimba mkwara Shirikisho la soka Uganda (FUFA), kutaka alipwe malimbikizo ya mshahara wake.

Micho alisema FUFA ikishindwa kumlipa basi ataachia ngazi na kufungua mashitaka dhidi yao.

Kocha huyo hivi karibuni aliiongoza Uganda kufuzu kwa fainali Afrika mwaka huu ambapo timu hiyo iliondolewa kwenye makundi.


Pamoja na kutolewa, Uganda ilicheza soka la hali ya juu kwenye michuano hiyo.

No comments