MLINZI WA URUGUAY ACHOMOA OFA YA KUJIUNGA NA AC MILAN... asema kiu yake kubwa ni Ligi Kuu England

MLINZI mahiri wa Uruguay, Martin Caceres mwenye miaka 29, aliyetamba na Juventus amekataa ofa ya kujiunga na AC Milan badala yake amesema ana kiu ya kutaka kukipiga Ligi Kuu England ambako anahitajiwa na timu za Crystal Palace na Southampton.

No comments