MOURINHO ASEMA ANAUFANYIA KAZI “UJENZI” WA SAIKOLOJIA ZA WANANDINGA WAKE


KOCHA Jose Mourinho amesema kuwa kwa sasa analifanyia kazi suala la kuwajenga kisaikolojia wachezaji wa Manchester United kwa lengo la kupata matokeo mazuri.

No comments