MRITHI WA ARSENE WENGER KITENDAWILI KIGUMU ARSENAL

TETESI za usajili wa kiangazi cha mwaka huu nchini England zimefunikwa na swali la nani atamrithi kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.


Ingawa makocha kadhaa wanatajwa kuanza mazungumzi na viongozi, jina la kocha wa Borussia Dortmund ya Ujerumani, Thomas Tuchel linapewa nafasi kubwa zaidi yaw engine wengi wanaotajwa.

No comments