MSHAMBULIAJI M'BAYE NIANG WA AC MILAN KUTUA WATFORD KWA PAUNI MIL 13.5

TIMU ya Watford ya Ligi Kuu Uingereza inatarajiwa kutoa pauni mil 13.5 kiangazi hiki ili kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa M’Baye Niang anayekipiga kwenye timu ya AC Milan ya Italia.


Watford imenogewa na uwezo wa mshambuliaji huyo mwenye miaka 22, ambao ameuonyesha katika mechi alizoitumikia kwa mkopo akitokea Milan.

No comments