MSHAMBULIAJI MOUSSA DEMBELE CELTIC ANUKIA CHELSEA

WINDO la Chelsea la kumnasa mshambuliaji wa Celtic ya Scotland Mousa Dembele Mwenye miaka 20, limefanikiwa.


Hii ni kwa kuwa klabu hiyo imebainisha kwamba ipo tayari kumuuza kinda huyo wa kimataifa wa Ufaransa kwa timu yoyote itakayolipa pauni mil 40.

No comments