MSHAMBULIAJI WA TORINO YA ITALIA "ANUKIANUKIA" MANCHESTER UNITED

MSHAMBULIAJI mahiri wa klabu ya Torino ya Italia, Andrea Belotti amebakiza hatua chache kutua Old Trafford.


Kinda huyo mwenye miaka 23, aliyefunga jumla ya mabao 17 katika serea A msimu huu amekubaliana maslahi binafsi ikiwemo mshahara.

No comments