MWIGIZAJI NOLLYWOOD AWAONYA WENZAKE KUCHEZA MBALI NA “BABY” WAKE

MWIGIZAJI nyota Nollywood, Yvonne Jegede amewaonya wenzake kukaa mbali na mchumba wake.

Yvonne ambaye amechumbiwa na staa na mfanyabiashara maarufu, Bukky Ajayi, amesema siku atakayomkuta msichana yeyote na mwandani wake atamfanya kitu mbaya.


Alitupia picha zake akiwa na mpenzi wake huyo wakati wa sherehe ya kuzaliwa ambapo mtandao wake wa Instagram ulichafuka kwa picha hizo.

No comments