NELSON SEMEDO ASEMA ATATUMIA LIGI YA MABINGWA ULAYA KUJIUZA

MLINZI chipukizi wa timu ya Benfica ya Ureno, Nelson Cabral Semedo maarufu kama “Nelson Semedo” amesema kuwa ataitumia michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kujiuza.


Mchezaji huyo mwenye miaka 23, amekuwa moja ya nguzo za Benfica msimu huu na majuzi aliapa kuwadhibiti washambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sport Lesboa e Benficaana. 

No comments