NYOTA WA LIVERPOOL ATAMBA LIGI YA THAILAND

WAPENZI wa klabu ya Liverpool wanaweza kuwa wameshasahau jina la mchezaji wao, Florent Sinama Pongolle.

Lakini kwa walio na kumbukumbu, Mfaransa huyo alijiunga na majogoo hao wa Anfield mwaka 2001 pamoja na rafiki yake Anthony Le Tallec na akawa katika kikosi hicho kwa miaka mitano.

Nyota huyo alikuwa katika kikosi cha Liverpool kilichotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2005, ingawaje hakuwa akipewa nafasi ya kuonyesha makeke yake.


Pongolle baadaye alitolewa kwa mkopo katika klabu ya Blackburn na baadae akaachana kabisa na soka la Uingereza.

No comments