Kundi zima la Ogopa Kopa Classic Band chini ya malkia wa mipasho Khadija Kopa, litafanya show ya kufa mtu kwa wakazi wa Masasi Februari 14 katika Valentine’s Day Special.

Onyesho hilo lililoandaliwa na Dalla’s Promotion, litafanyika katika ukumbi wa BR.


Kama vile hiyo haitoshi, Ogopa Kopa watatumbuiza pia Nachingwea katika ukumbi wa NR Jumatano ya Februari 15.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac