MSANII nguli wa Hiphop nchini Marekani, Sean Combs “P Diddy” ameapa kutokimbia tena kutokana na janga lililomkuta.

Rapa huyo mwenye utajiri uliopea alilazimika kufanyiwa upasuaji wa goti baada ya kuanguka wakati akifanya mazoezi ya kukimbia.

Diddy alitupia picha zake kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram zikimuonyesha jinsi ambavyo anataabika akiwa hospitali baada ya upasuaji huo.


Pamoja na kuwa na maumivu makali  msanii huyo aliwaomba madaktari wawaruhusu mashabiki wake kuingia na kumjulia hali baada ya kumpa pole waliomba kupiga nae picha.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac