PATRICE EVRA ANUKIA WA JUVENTUS ANUKIA CRYSTAL PALACE

CRYSTAL Palace inakaribia kuinasa saini ya beki Patrice Evra ambaye anakipiga katika klabu ya Juventus.


Klabu kadhaa zimekuwa zikiifukuzia saini ya Mfaransa huyo lakini Palace wameonekana kuwa na uhakika mkubwa wa kumnasa.

No comments