PAULO DYBALA ATENGEWA KITITA CHA PAUNI MIL 50 OLD TRAFFORD

UONGOZI wa klabu ya Manchester United umetenga kitita cha pauni mil 50 ili kuhakikisha unapata huduma ya staa wa Juventus, Paulo Dybala.


Juve wamekuwa wakisisitiza kuwa hawamuuzi staa huyo lakini huenda wakashawishika na dau hilo.

No comments