PEP GUARDIOLA KUPITISHA "PANGA" KALI MANCHESTER CITY

KOCHA wa kikosi cha Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba anataka kuisuka upya timu hiyo ili irejee kwenye makali yake.


Kocha huyo amesema kwamba anaona jinsi Ligi ya uingereza ilivyo ngumu, lakini anakiri kwamba katika kundi lake kuna wachezaji ambao ni “mzigo” na wanastahili kuondoka.

No comments