Habari

PICHA 12: MASHAUZI CLASSIC WALIVYOANZA KWA KISHINDO SHOW YA ‘USHUANI’ NEXT DOOR MASAKI

on

Kundi la Mashauzi Classic jana usiku
lilianza kwa kishindo onyesho la Usiku wa Marashi ya Pwani lililofanyika katika
klabu ya kimataifa – Next Door pale pande za Masaki jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo la Usiku wa Marashi ya
Pwani, lililozinduliwa jana, litakuwa likifanyika kila Jumatano.
Kutokana na show ya kutaka waliyoipiga
jana, Mashauzi Classic wamepewa nafasi ya kuendelea kutumbuiza katika  Usiku wa Marashi ya Pwani Jumatano ijayo.
Ukumbi huo wa kisasa wenye full kiyoyozi,
ukashuhudia Isha Mashauzi akiliongoza kundi lake la Mashauzi Classic kumimina
uhondo wa aina yake na kuwafanya watu wengi waliohudhuria show hiyo wapate vitu
adimu.
Mandhari ya ukumbi, jukwaa, ‘sound’  sambamba na aina ya watu waliohudhuria,
ilifanya show hiyo ionekane ni ya matawi ya juu kupita maelezo.
Pata picha 12 za onyesho hilo la Usiku wa
Marashi ya Pwani.
 Hashim Said jukwaani
  Hashim Said 
 Isha Mashauzi 
 Isha Mashauzi akiwapa raha watu ushuani
 Kali Kitimoto 
 Mandhari ya jukwaa inavyoonekana
 Makamuzi ya kufa mtu
 Mkude kwenye solo gitaa
 Rahma Amani akiimba moja ya nyimbo za Mashauzi
 Rajab Kondo kwenye bass gitaa
 Red Carpet ilikuwepo
Saida Mashauzi akifanya yake

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *