Habari

PICHA 23: TWANGA PEPETA NA YAH TMK WALIVYOUMANA MANGO GARDEN JUMAMOSI …leo wanakutana tena Equator Grill

on

Bendi za African Stars “Twanga Pepeta” na Yah TMK Modern Taarab, ziliumana
vikali katika onyesho la pamoja lililofanyika Mango Garden Kinondoni Jumamosi
iliyopita.
Twanga walitumia nafasi hiyo kutambulisha nyimbo za mpya ukiwemo “Prison
Love” wakati Yah TMK wakitumia fursa hiyo kuitambulisha bendi hiyo kwa wakazi
wa Kinondoni.
Kama vile hiyo haitoshi, bendi hizo zitafanya onyesho la marudiano leo
usiku ndani ya ukumbi wa Equator Grill, Mtoni.
Pata picha kibao za onyesho hilo la Jumamosi.

 Jeshi la kukodiwa … J Four Sukari wa TOT ambaye anaitumikia Twanga kwa mkopo
 Jojoo Jumanne (kushoto) akimpandisha mzuka mpiga bass mwenzake wa Twanga Hosea
 Kalala Jr wa Twanga Pepeta
 James Kibosho akizigonga drums za Twanga Pepeta
 Babu Ali Kichupa wa Yah TMK akipapasa kinanda
 Hajj Bass na Luizer Mbutu
 Luizer Mbutu
 Mohamed Mauju wa Yah TMK na solo lake
 Mauwa Teggo mwimbaji wa Yah TMK
 Fatma Mcharuko wa TMK
 Mussa Mipango akikung’uta bass la TMK
 Taswira ya Mango Garden wakati show ikiendelea
 Omar Teggo akiliongoza kundi la Yah TMK
 Twanga wakiwajibika jukwaani
 Victor Nkambi akipapasa kinanda cha Twanga Pepeta
 Aisha Vuvuzela mwimbaji wa Yah TMK 
Waimbaji wa Yah TMK
Khalid Chokoraa akikamua na dansa Maria Soloma
 Chid Boy na kinanda cha Yah TMK
Vuvuzela akiwajibika jukwaani

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *