PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG ANG’ANG’ANIA KUTAKA KUCHOMOKA BORUSSIA DORTMUND

MSHAMBULIAJI mahiri anayeipasua kichwa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ameshikilia msimamo wake wa kutaka kuondoka.


Aubameyang raia wa Gabon anayeongoza kwa mabao msimu huu katika Bundesliga, ameiambia Dortmund isahau suala la kuongeza mkataba mpya kwani kichwani kwake anaiwaza Real Madrid tu.

No comments