REAL MADRID WAMTENGEA DAVID DE GEA PAUNI MIL 55

MABINGWA wa soka barani Ulaya, Real Madrid wamesema kuwa wamemtengea kipa wa Manchester United, David de Gea pauni mil 55.


Madrid wamesema, baada ya kumkosa mara mbili, safari hii hawataki mchezo katika usajili wa Juni, mwaka huu.

No comments