SCHALKE YAPOTEZEA OFA YA CHELSEA YA KUMTAKA MLINZI WAO WA PEMBENI


KLABU ya Schalke imethibitisha kuwa imetupilia mbali ofa ya Chelsea kutaka kumsajili mlinzi wao wa pembeni Sead Kolasinac.

No comments