SIMONE ZAZA ATETEA KUTOKUWIKA KWAKE KATIKA LIGI YA UINGEREZA MSIMU ULIOPITA

MSHAMBULIAJI mpya wa Valencia, Simone Zaza raia wa Itali mwenye miaka 25, amedai alikwamishwa na hali ya hewa kuwika katika Ligi ya Uingereza.


Zaza aliyetua West Ham United kwa mkopo msimu uliopita akitokea Juventus, alishindwa kufurukuta na kujikuta akitupiwa virago, lakini ameahidi mabao baada ya kusaini Valencia wiki iliyopita.

No comments