SOL CAMPBELL AGEUKIA UKOCHA... ateuliwa kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya trinday ya Todago

BAADA ya kuchemka kwenye siasa kwa kuanguka kwenye mbio za kuwania umeya wa jiji la London, mlinzi wa zamani wa Arsenal na England Sol Campbell amegeukia ukocha.

Mlinzi huyo aliyekuwa akipeperusha bendera chama cha Consevative amesema ndani ya miaka sita ijayo atakuwa kocha wa moja ya timu kubwa England.


Kwa sasa Campbell ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya trinday ya Todago.

No comments