STRAIKA WA TORINO AZIGOMBANISHA BAYERN MUNICH, CHELSEA


STAIKA hatari wa timu ya Torino, Andrea Belotti amevutiwa zaidi kujiunga na wazee wa “5G”, klabu ya Bayern Munich, huku ikidaiwa kwamba mabosi wa Chelsea wameshaamua kufanya kufuru dhidi ya nyota huyo.

No comments