THIERRY HENRY ASEMA WENGER HATAKIWI KUONDOKA KLABUNI ARSENAL

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Arsenal, Thierry Henry amewaambia mashabiki wa arsenal kuwa kocha wa klabu hiyo, Arsene Wenger hatakiwi kuondoka klabuni hapo.

Lakini Henry amekiri kuwa kocha huyo ana kazi ya ziada kuibadili timu hiyo kuwa kwenye mbio za kugombea taji la Ligi Kuu England.


No comments