THOMAS MULLER ASEMA HANA MPANGO WA KUONDOKA BAYERN MUNICH

STAIKA Thomas Muller amekiri kuwa hana mpango wa kuondoka katika klabu yake ya Bayern Munich.


Mjeumani huyo mwenye umri wa miaka 27, alijiunga na Bayern mwaka 2000 lakini awali kulikuwa na wasiwasi kuwa ataondoka.

No comments