KLABU ya Tottenham inajiandaa kufanya usajili wa mshambuliaji chipukizi wa Ufaransa, Anthony Martial.


Mchezaji huyo mwenye miaka 21, ameamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu kutokana na kushindwa kupata namba katika kikosi cha Manchester United tangu kutua kwa kocha Jose Mourinho.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac