"TUTAKOSA UBINGWA ENGLAND LAKINI SIO NNE BORA" AJIFARIJI ARSENE WENGER

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa pamoja na kupoteza mchezo dhidi ya Chelsea Jumamosi iliyopita, bado wana nafasi ya kumaliza Ligi hiyo wakiwa katika nafasi nne za juu kwenye msimamo.


Arsenal ilifungwa na Chelsea mabao 3-1 kwenye uwanja wa Stanford Bridge na Chelsea imepanda pointi 12 juu ya kilele cha Ligi ya England baada ya kuinyamaisha Arsenal. 

No comments