UJIO WA GABRIEL JESUS MANCHESTER CITY WAMTIA TUMBOJOTO SERGIO AGUERO

UJIO wa mshambuliaji kinda wa Brazil, Gabriel Jesus unaonekana kumpa presha mpiga mabao wa Manchester City, Sergio Aguero.


Hata hivyo, kocha wa City, Pep Guardiola amemwambia Aguero asiwe na wasiwasi kwani bado yuko kwenye mipango ya muda mrefu ya klabu hiyo.

No comments